Mbunge apiga magoti kuhamasisha kujiandikisha daftari la mpigakura
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga, Husna Sekiboko akiwa amepiga magoti wakati akifanya uhamasishaji kwa wanawake na wananchi kujitokeza kwa wingi kuboresha taarifa zao kwenye daftari la kudumu la mpiga. Picha na Raisa Said