Mavunde afanya ziara ukaguzi wa shughuli za uchimbaji madini Katavi
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde akifanya ziara ya ukaguzi wa shughuli za uchimbaji madini katika Manispaa ya Mpanda na Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi. Ziara hio imefanyika Jumatano Mei 13, 2026.
Photo: 1/7