Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungumza akati wa maombi ya kitaifa yanayofanyika Februari 28, 2025 kwenye viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Photo: 1/6
Baadhi ya wananchi wakiwa katika maombi ya kitaifa viwanja wa Leaders, Dar es Salaam.
Photo: 2/6
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa katika maombi ya kitaifa yanayofanyika Februari 28, 2025 kwenye viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Photo: 3/6
Baadhi ya ananchi wakiwa katika maombi ya kitaifa viwanja wa Leaders, Dar es Salaam.
Photo: 4/6
Photo: 5/6
Hali ilivyokuwa jioni katika viwanja vya Leaders kabla ya jua kuzama.