Mama Maria, Mjane wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere leo Jumatano, Februari 27, 2026 amefika Katika kanisa la Mtakatifu Yosefu ameshiriki kuaga mwili wa Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo katika Kanisa la Mtakatifu Yosefu, Posta jijini Dar es Salaam.