Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla (kushoto) akisalimiana na Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Mwananchi, Joseph Damas baada ya kuwasili ofisi kuu za Mwananchi Communications Ltd (MCL), zilizopo Tabata Relini, Dar es Salaam kwaajili ya mahojiano maalumu leo Ijumaa Februari 21, 2025. Picha na Sunday George