Rais Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wafanyakazi waliokuwa wakipita mbele ya jukwaa kuu katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi 2026), ambayo kitaifa yamefanyika mkoani Njombe, Mei 1, 2026.
Photo: 1/11

Photo: 2/11
Photo: 3/11
Wafanyakazi wa Wizara mbalimbali, taasisi za umma na binafsi wakipita mbele ya Jukwaa Kuu katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi 2026) ambayo Kitaifa yamefanyika mkoani Njombe leo Ijumaa Mei Mosi 2026.
Photo: 4/11
Photo: 5/11