Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu wakati akipandishwa kizimbani katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam kwa ajili ya kuendelea na kesi ya uhaini inayomkabili leo, Februari 9, 2026.
Photo: 1/4
Mwenyeki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu akiwatuliza wafuasi wa chama hico baada kumshangilia leo, Februari 9, 2026 alipokuwa anapandishwa kizimbani katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam. Picha na Michael Matemanga.
Photo: 2/4
Photo: 3/4
Viongozi wa Chadema leo, Februari 9, 2026 wakiwa katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam ambapo walikwenda kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wao, Tundu Lissu.