Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk Rhimo Nyansaho (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Jenerali, Jacob Mkunda baada ya kuwasili katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Leo Wizara ya Ulinzi inatarajiwa kuwasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027.