Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mbunge mstaafu wa Jimbo la Bumbuli, January Makamba amefuturisha taasisi za madrasa zaidi ya kumi katika hafla inayofanyika jana Jumatatu Machi 16, 2026 katika viwanja vya Tanga Beach Resort, Tanga Mjini.
Mbali na taasisi hizo za madrasa, wengine waliohudhuria iftari hiyo ni mashekh wa Tanga, viongozi wa CCM, madiwani na wananchi wa Tanga