Ibada ya kumuaga aliyeshiriki tukio la kuchanganya udongo
Mamia ya waombolezaji waliojitokeza katika Usharika wa Nkwarungo Machame, kushiriki ibada ya maziko ya Sifael Shuma (92) aliyekuwa mmoja wa vijana wanne walioshiriki tukio la kuchanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, 1965.