Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi akifanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Peter Nalitolela (wa kwanza kushoto), na ujumbe alioongozana nao. Mazungumzo hayo yamefanyika leo Februari 13 2026, Dodoma.