Picha Dk Nchimbi amtembelea Mzee Malecela nyumbani kwake Dodoma Jumatano, Mei 13, 2026 Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi, amemtembelea na kumjulia hali, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu wa Tanzania, John Malecela katika makazi yake Kilimani jijini Dodoma leo Jumatano, Mei 13, 2026. Photo: 1/3 View caption Photo: 2/3 View caption Photo: 3/3 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.