Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika eneo la Bwawa la Mindu, ambacho ni chanzo kikuu cha Maji Safi kwa Manispaa ya Morogoro, kwa lengo la kukagua eneo hilo, ikiwa ni kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Maji 2026, iliyofanyika mkoani Morogoro. Machi 22, 2026.