Mabalozi na wawakilishi wa mashirika ya Kimataifa wakiwa bungeni
Baadhi ya Mabalozi na wawakilishi wa mashirika ya Kimataifa wakifatilia uwasilishwaji wa Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Afrika mashariki Bungeni jijini Dodoma. Picha na Said Khamis