Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

1xBet yaingia fainali ya tuzo za SiGMA Afrika 2025

Kampuni bora ya kimataifa ya michezo ya kubashiri ya 1xBet ambayo ni miongoni mwa kampuni vinara katika sekta ya michezo ya kubashiri kwa njia ya mtandao (iGaming) na inayoaminika zaidi na wataalamu wa michezo hiyo, imeorodheshwa kwenye kinyang’anyiro cha tuzo maarufu za SiGMA Africa kwa mwaka 2025 katika kipengele cha kampuni bora ya uendeshaji wa michezo ya kubashiri pamoja na kipengele cha kampuni bora katika michezo hiyo kupitia njia ya simu kwa mwaka 2025.

Washindi watachaguliwa kwa uamuzi wa kura na matokeo ya kura kwenye ukurasa wa zawadi. Sherehe ya tuzo itafanyika Machi 10, siku ya ufunguzi wa mkutano wa kilele wa SiGMA Africa 2025, kwenye Maonyesho ya Sun huko GrandWest Cape Town, Afrika Kusini.

"Mwaka jana, 1xBet ilitajwa kuwa mwendeshaji bora wa michezo ya kubashiri barani Afrika na tunataka kuthibitisha tena hili. Timu yetu imejaribu kuwapa wateja huduma bora ya michezo ya kubahatisha, ikiwa ni pamoja na matukio mbalimbali ya michezo na matangazo ya kusisimua. Pia tulitoa kipaumbele maalum kwa programu za simu na kuifanya iwe rahisi zaidi kwa watumiaji. Tunafurahi kwamba wataalam wa sekta wametambua kazi yetu," alisema mwakilishi wa 1xBet.

Kuwa mwanafainali katika tuzo za SiGMA Afrika 2025 sio mafanikio pekee muhimu kwa 1xBet katika mwaka uliopita. Chapa hii pia ilishinda tuzo ya Bidhaa Bora ya Mwaka ya kupitia ubashiri kupitia simu za mkononi katika Tuzo za Kimataifa za Michezo ya Kubahatisha mwaka 2025, katika Tuzo za SiGMA Asia 2024 na ilitambuliwa kama Opereta Bora wa Esports Amerika Kusini kwenye Tuzo za SiGMA Americas 2024.


 Kuhusu 1xBet

1xBet ni kampuni ya kimataifa yenye uzoefu wa miaka 18 na moja katika ya kampuni bora za michezo ya kubashiri  barani Afrika. Chapa hii inasaidia kikamilifu michezo ya Kiafrika na ni mshirika rasmi wa Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) na mashindano yake yote. Katika ngazi ya kimataifa, 1xBet inashirikiana na FC Barcelona, PSG na FIBA. Mamilioni ya wachezaji kote barani Afrika huweka dau kwenye matukio maarufu na kufurahia michezo bora ya mtandaoni kwenye jukwaa linalopatikana katika lugha 70. Zaidi ya wachezaji milioni 3 duniani kote hutembelea jukwaa la 1xBet kila mwezi. Kampuni hiyo imeshinda tuzo kadhaa ikiwemo tuzo ya kampuni bora ya michezo ya kubashiri Afrika katika Tuzo za SiGMA Afrika na "Kampuni bora ya Mwaka" katika Tuzo za Kimataifa za Michezo ya Kubahatisha mwaka 2024.


Kuhusu Tuzo za SiGMA Africa mwaka 2025

Tuzo za SiGMA Africa zinaandaliwa na kampuni ya kimataifa ya SiGMA Group - mamlaka inayotambulika katika michezo ya kubashiri kwa njia ya mtandao (iGaming), usalama wa kidijitali na masoko shirikishi. Kampuni ya SiGMA inafanya kazi barani Afrika, Ulaya, Asia na Amerika Kusini na inaaminika katika kila eneo. Tuzo za SiGMA Africa ni sehemu ya mfumo wa tuzo na hutolewa kila mwaka kwa wawakilishi waliofanikiwa zaidi katika sekta ya michezo ya kubashiri.