Mahakama yamuachia huru mjane wa Bilionea Msuya

Mjane wa Bilionea Msuya, Miriam Mrita akiwa kwenye chumba cha Mahakama Kuu ya Tanzania leo Ijumaa, Februari 23, 2024.
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewaachia huru, mjane wa mke wa Msuya, Miriam Mrita na Revocatus Muyella, baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha mashitaka dhidi yao.
Endelea kufuatilia Mwananchi na mitandao yake kwa habari zaidi.