Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

China yaanza kuondoa raia wake Ukraine

Muktasari:

  • Zaidi ya wanafunzi 400 waliopo mji wa Odessa na wengine 200 kutoka mji mkuu wa Kyiv wameondoka nchini Ukraine jana Jumatatu kutokana na vita inayoendelea nchini humo.

Kyiv, Ukraine. Zaidi ya wanafunzi 400 waliopo mji wa Odessa na wengine 200 kutoka mji mkuu wa Kyiv wameondoka nchini Ukraine jana Jumatatu kutokana na vita inayoendelea nchini humo.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka ubalozi wa China nchini Ukraine kupitia vyombo vya habari ilieleza kuwa zaidi ya raia 1000 wanatarajiwa kuhamishiwa nchi jirani leo.

Putin anataka nini Ukraine?

Kwa njia ya anga, nchi kavu na baharini, Alhamisi iliyopita Urusi ilianzisha mashambulizi dhidi ya Ukraine, nchi ambayo ni ya kidemokrasia ya Ulaya yenye watu milioni 44 na vikosi vyake viko viungani mwa mji mkuu wa Kyiv.

Kwa nini askari wa Urusi wameshambulia? Soma zaidi

 Makombora ya Russia balaa nchini Ukraine

Uamuzi wa Rais wa Russia, Vladimir Putin kuanza mashambulizi ya angani na ardhini nchini Ukraine umezua balaa na kuwalazimu wananchi kukimbia maeneo yao kuokoa maisha. Soma zaidi