Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Bodaboda, bajaji faini toka Sh30,000 hadi 10,000

Bodaboda, bajaji faini toka Sh30,000 hadi 10,000

Muktasari:

  • Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya serikali ya Tanzania kwa mwaka wa fedha 2021/2022

“Napendekeza kupunguza adhabu zinazotolewa chini ya Sheria ya Usalama Barabarani sura  168 kwa makosa ya pikipiki na bajaji kutoka Sh30,000 za sasa hadi Sh10,000 kwa kosa moja. Lengo la hatua hii ni kuweka adhabu kwa kuzingatia uwezo wa kulipa. Aidha, adhabu kwa makosa mengine ya vyombo vya moto zinazotolewa kwa mujibu wa Sheria zinaendelea kubaki kama ilivyo sasa,” amesema Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba.