Aliyekuwa Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo afariki dunia Kwa mujibu wa taarifa ya kutangaza kifo chake iliyotolewa na familia ya Mkulo, msiba upo nyumbani kwa marehemu Mikocheni jijini Dar es Salaam
Mvua yasababisha mafuriko Moshi, Mto Rau wajaa maji Aprili 25, kuliripotiwa vifo vya watu saba wakiwamo wanne wa familia moja kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku na kusababisha mafuriko Wilaya ya Moshi
PRIME Takukuru kujitosa madai ya rushwa uchaguzi ndani ya Chadema Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Salum Hamduni amesema taasisi yake inafuatilia taarifa hizo na si lazima zipelekwe kiofisi.
Wakazi wa Kiponzelo marufuku kuanzisha vilabu bubu nyumbani Baadhi ya wakazi wa Kiponzelo wamesema ni mazoea kwao kunywea pombe nyumbani
Madiwani CCM, maofisa ushirika wadakwa wakidaiwa kuuza tumbaku kwa kangomba Akihitimisha hoja ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2024/25 jana usiku Ijumaa, Mei 3, 2024, Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema alimshukuru mkuu wa Mkoa wa...
Usafiri wa boti Dar- Z’bar, vivuko vyasitishwa, TMA yatoa taarifa Kimbunga Hidaya kinatarajiwa kuendelea kusogea karibu zaidi na ukanda wa pwani ya Tanzania huku kikipungua nguvu yake taratibu kuelekea usiku wa kuamkia kesho Mei 5, 2024
Viongozi wadaiwa kukacha mkutano wa diwani Simanjiro Mwenyekiti wa cha Loiborsiret, amesema hakuwa na taarifa ya kufanyika kwa mkutano huo
Wasichana wapewa mbinu kumudu masomo ya sayansi Kikubwa kinachoangaliwa ni kubuni na kutengeneza mifumo inayotatua changamoto za jamii
Miaka 20 ya Poland ndani ya Umoja wa Ulaya Leo, Mei Mosi, Poland inaadhimisha miaka 20 tangu ilipojiunga na Umoja wa Ulaya (EU) mwaka 2004. Kipindi hicho, ilipokea kundi kubwa la nchi 10 za Ulaya Mashariki na Kati, ikiwemo Poland ambazo...
Uzalishaji korosho wapaa, sababu zatajwa Louis Kolumbia, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam. Uzalishaji wa korosho umepanda kwa tani 115,900, kutoka 189,114 zilizozalishwa msimu wa 2022/23 hadi tani 305,014 katika...
Yanga Arusha, Azam Mwanza nusu fainali Shirikisho Droo ya uamuzi wa kiwanja kipi kitatumiwa na timu zipi katika nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB imechezeshwa leo ambapo timu za Ihefu, Yanga, Azam na Coastal Union zimejua mechi zao za...
Ramadhani Brothers ndani ya mlima kilimanjaro Washindi wa ‘American Got Talent’, The Ramadhan Brothers wametimiza lengo lao la kupanda na kufika kileleni katika Mlima Kilimanjaro wakiwa na Tuzo yao ya ushindi waliyoipata nchini Marekani.
Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...
Hii ndiyo elimu itakayokomesha ajira zinazodhalilisha Watanzania nje Kuna uwezekano mkubwa wa kuzuia Watanzania kudhalilika nje, ikiwa mfumo wa elimu utawawezesha kuwa na uwezo wa kujiajiri au kurandana na mahitaji ya soko.