Malisa, Boniface waendelea kushikiliwa, Polisi wasema dhamana yao ipo wazi Hata hivyo, alipopigiwa simu Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro kujua sababu ya kunyimwa dhamana wawili hao amejibu kwa kifupi, “dhamana yao ipo wazi.”

Mtoto aliyeokolewa tumboni mwa mama aliyeuawa Gaza afariki dunia Aprili 20, 2023, Israel ilirusha bomu kwenye nyumba ya familia huko Rafah