OCD afariki ajalini, askari mwingine avunjika mkono Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linamtafuta dereva wa daladala aliyesababisha ajali ya barabarani ambayo imekatisha maisha ya Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kipolisi Chanika (OCD), Awadh Chico na...
‘No Reform, No Election’ yawapeleka Chadema kwa Msajili Chadema ilitangaza kampeni ya No, Reform No Election (bila mabadiliko, hapa uchaguzi) ikilenga kushinikiza mabadiliko ya kisheria kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka huu.
Polisi Dar yaahidi kumnasa anayedaiwa kumuua mkewe Inadaiwa mwanamke huyo aliuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali tumboni baada ya kumnyima kijana huyo anayedaiwa kuwa mmewe Sh50,000 kulipia kodi ya pango