Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Bito akifurahi jambo na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira), Patrobas Katambi walipohudhuria kikao cha 56 cha mkutano wa bunge la bajeti, jijini Dodoma leo Juni 28, 2024. Picha na Edwin Mjwahuzi