PRIME Mpina: Natimiza wajibu, sikwenda bungeni kucheza disko na mawaziri Awaonya wanaopambana naye kwamba wataishia kudhalilika kwa kuwa hawezi kucheka na waziri ambaye hatekelezi majukumu yake ipasavyo.
CRDB yaamriwa kumlipa fidia Sh300 milioni Balozi wa Tacaids Mahakama imefikia uamuzi huo katika hukumu iliyotolewa jana Aprili 30, 2024 na Hakimu Mkazi Mkuu, Rahim Mushi, katika kesi ya madai aliyofunga Bahenge dhidi ya benki hiyo akiilalamikia kwa...
Changamoto tisa wafanyakazi wakiadhimisha Mei Mosi Kwa mujibu wa Tucta, kuwepo kwa changamoto hizo kunakwaza ari na shauku ya ufanyaji kazi miongoni mwa wafanyakazi nchini, ikisisitiza Serikali ichukue hatua kuleta suluhu.
Serikali imalize mgogoro wa kikokotoo - ACT Katika tamko la siku ya wafanyakazi lililotolewa leo Jumatano, Mei Mosi 2024 na Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesema wastaafu walipwe asilimia 50.5 ya pensheni kama kiinua mgongo.
CWT yawafedhehesha walimu Songwe Kwa upande wake, mwalimu Bestina Mbuligwe amesema wamesherekea sikukuu ya wafanyakazi kama yatima kutokana na sintofahamu ya kukosa sare za walimu mkoa wa Songwe ambao ni wanachama wa (CWT)...
Makonda ajizuia kuzungumza akihofia ‘kulikoroga’ mbele ya Dk Mpango “Hapa nitayakoroga mambo Mheshimiwa Makamu wa Rais uniruhusu niseme matatu, ukiwa na furaha sana unaweza ukajikuta unasema mambo mengi,” amesema.
Chadema yahitimisha maandamano, hoja nne zikitawala Licha ya kujibiwa, suala la Muungano pia lilijadiliwa na Mbowe alipohutubia mkutano wa hadhara mjini Musoma, akisisitiza msimamo wa chama hicho wa kuwa na Muungano wa Serikali tatu.
Wasichana wapewa mbinu kumudu masomo ya sayansi Kikubwa kinachoangaliwa ni kubuni na kutengeneza mifumo inayotatua changamoto za jamii
Miaka 20 ya Poland ndani ya Umoja wa Ulaya Leo, Mei Mosi, Poland inaadhimisha miaka 20 tangu ilipojiunga na Umoja wa Ulaya (EU) mwaka 2004. Kipindi hicho, ilipokea kundi kubwa la nchi 10 za Ulaya Mashariki na Kati, ikiwemo Poland ambazo...
Michango ya harusi inavyowaumiza Watanzania kiuchumi Sherehe za harusi zifanyike kulingana na uwezo wa familia, ufahari wa harusi haumaanishi kuwa ndio ndoa bora, na upangaji wa michango uzingatie hali za watu kifedha na kimaisha.
Bayern, Madrid ni sare ya piga nikupige Ndicho unachoweza kusema juu ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya nusu fainali baina ya Bayern Munich na Real Madrid uliopigwa uwanjani Allianz Arena usiku wa Jumanne na miamba hiyo...
Nigeria kama Marekani, mabifu kila kona Mwanamuziki wa Nigeria, Kizz Daniel amezua mijadala baada ya majibizano yaliyotokea kati yake na msanii mwenzake Tekno huku mashabiki wakidai kuwa Kizz alimtumia Tekno kuingiza maokoto kupitia...
PRIME Kwa nini tusiwapoteze wanaotaka kutupoteza? Japo walijulikana, watu wasiojulikana walijulikana kwa unyama na ushenzi wao enzi zile za ubabe na uungu ngurumbili. Kuna mafyatu walipotezwa na mafyatu wasiojulikana bila hata kujulikana...
Hii ndiyo elimu itakayokomesha ajira zinazodhalilisha Watanzania nje Kuna uwezekano mkubwa wa kuzuia Watanzania kudhalilika nje, ikiwa mfumo wa elimu utawawezesha kuwa na uwezo wa kujiajiri au kurandana na mahitaji ya soko.