Picha Kocha mpya Yanga atua Dar na msaidizi wake Jumatano, Februari 05, 2025 Aliyekuwa kocha wa Singida BS, Hamdi Miloud awasili jijini Dar es Salaam leo asubuhi akiwa na msaidizi wake tayari kwa kujiunga na Yanga. Photo: 1/3 View caption Photo: 2/3 View caption Photo: 3/3 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
PRIME Simba yatinga fainali CAFCC, sababu nzito yatajwa Afrika Kusini Sare ya bila kufungana dhidi ya Stellenbosch ugenini kwenye Uwanja wa Moses Mabhida, Durban Afrika Kusini leo Aprili 27, 2025 imeivusha Simba kwenda hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika...
Kaseja ana kibarua cha 2015-2016 KOCHA wa Kagera Sugar, Juma Kaseja kwa sasa presha inazidi kupanda kutokana na nafasi iliyopo timu hiyo inayopambana na kutoshuka daraja, ingawa ikiwa atainusuru kupitia mechi tatu zilizobakia...
PRIME Yanga yaweka rekodi nyingine KIKOSI cha Yanga kinatarajiwa kuondoka jijini Dar es Salaam leo Ijumaa kwenda visiwani Zanzibar kwa ajili ya ushiriki wa michuano ya Kombe la Muungano 2025 iliyoanza jana, huku ikiwa imeandika...