Namna lugha inavyoweza kuathiri biashara ya huduma za kifedha Kiswahili ni lugha kuu inayotumika na Watanzania wengi wanaotumia huduma rasmi za kifedha nchini. Taarifa za Ripoti ya Utafiti wa Maoni ya Watumiaji wa Huduma za Kifedha nchini (Finscope,2023)...
Mshairi nguli Amiri Andanenga afariki dunia, azikwa "Andanenga ni kizazi kilichofanya kazi na washairi nguli kama hayati Shaaban Robert, Saadani Kandoro na wengine wengi. Alifanya kazi na vizazi vyote na alikuwa mshauri mzuri na hazina ya historia...
Mafuriko yachelewesha kufungua shule Kenya Watu 76 wamepoteza maisha nchini Kenya tangu Machi, huku mvua kubwa kuliko kawaida ikinyesha Afrika Mashariki, ikichangiwa na mufumo wa hali ya hewa wa El Nino.