1. Hii ndiyo elimu itakayokomesha ajira zinazodhalilisha Watanzania nje

    Kuna uwezekano mkubwa wa kuzuia Watanzania kudhalilika nje, ikiwa mfumo wa elimu utawawezesha kuwa na uwezo wa kujiajiri au kurandana na mahitaji ya soko.

  2. PRIME Mageuzi 13 ya Tamisemi kwenye elimumsingi

    Bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imepitishwa na wabunge huku fedha ya bajeti zikiongezeka.

  3. PRIME Uzembe unavyochangia ubakaji, ulawiti kwa watoto

    Limekuwa kama jambo la kawaida kusikia watoto wakibakwa au kulawitiwa.

  4. Uanaume haulindwi kwa kupuuza hisia

    Nimekuwa nikizungumzia dhana ya uanaume na madhara yake kwa afya ya akili ya wanaume. Ikiwa hukuweza kusoma makala zilizopita, nilirejea kidogo tafiti mbalimbali zinazoonesha kuwa wanaume wengi...

  5. PRIME KONA YA MAUKI: Je, una kiu na ndoa yenye mafanikio?

    Watu wengi wamekuwa wakifundishwa na kuelewa kwamba tunachotakiwa kuwa nacho ili tuishi kwenye ndoa ni upendo peke yake, upendo ukiwepo basi hakuna haja ya kingine chochote, mengine yatakuja...

  6. PRIME Ukifanya haya unaathiri makuzi ya mtoto wako

    Kila mtoto ana ndoto ya kuishi maisha mazuri bila kujali anatokea katika familia ya maisha aina gani, iwe ya kitajiri, kati hata ya kimasikini, ndiyo maana wapo wanaopambana tangu wakiwa wadogo.

  7. Usizidishe kiwango hiki cha kahawa kwa siku

    Umewahi kukutana na mfanyakazi ambaye muda wote mezani kwake kuna kikombe cha kahawa?

  8. Hiki ndicho kiini cha akili na maana yake

    Waswahili wanasema mtaka cha uvunguni shurti ainame, na vijana wa sasa wanasema anaweza inua kitanda, uchaguzi ni wako, uiname au uinue kitanda... hebu twende pamoja.

  9. May Day ni ya wafanyakazi wastaafu je?

    Siku ya kwanza ya Mei, wafanyakazi nchini wanajiunga na wafanyakazi wengine duniani kuadhimisha sikukuu yao ya ‘May Day.’ Inaelezwa kuwa ni kumbukumbu ya wafanyakazi kukata minyororo ya uonevu na...

  10. PRIME Nani anawajibika ulinzi wa walimu kazini?

    Usalama wa mwalimu awapo kazini ni suala muhimu linalomwezesha atekeleze majukumu yake ipasavyo.

  11. PRIME Eti tusiwachape watoto wakikosea, tuwafanyeje?

    Mwaka jana nilipata bahati ya kutembelea sehemu zaidi ya tatu ambazo wazazi na walezi hawaruhusiwi kupiga watoto wao viboko. Na ninaposema hawaruhusiwi namaanisha hawaruhusiwi kwelikweli, sio ile...

  12. PRIME Madhara kuyapa kisogo malezi ya mtoto wa kiume

    Uwezeshwaji katika nyanja na fursa mbalimbali kwa watoto wa kike umeshuhudiwa kwa kiasi kikubwa katika zama hizi ambapo kuna namna mtoto wa kiume anasahaulika, wadau mbalimbali wameibuka...

  13. PRIME Mambo saba usiyopaswa kufanya baada ya kula

    Chakula ni muhimu kwa afya njema na kuna misingi inatakiwa kufuatwa ili kuepukana na madhara yatakayosababishwa baada ya kula chakula.

  14. PRIME Fahamu njia sahihi ya kuacha pombe kiafya

    Ni uchungu kwa ndugu pale mpendwa wao anapoangukia kwenye unywaji wa pombe wa kupindukia.

  15. PRIME Sababu, athari kupotea kwa uandishi wa barua

    Mwaka jana, rafiki yangu Hanifa Kafashe alipata msiba wa mtoto wake aliyefariki kwa ajali ya gari.

  16. PRIME Chanzo mauaji ya wanandoa hiki hapa

    Taarifa za mauaji ya wanandoa zinazidi kuongezeka kiasi cha kukera na kutisha. Haupiti mwezi, na sasa wiki, bila kusikia taarifa za mume kumuua mkewe kwa sababu mbalimbali, kuu ikiwa wivu wa...

  17. Sikukuu za wanawake ni kubwa kuliko Krismasi na Eid?

    Kama bado hujagundua hili, basi pole yako. Sikukuu za wanawake ‘nau deizi zimetekova’, zinapewa uzito kuliko sikukuu kongwe kama Krismasi na Eid El Fitr. Achana na Mei Mosi, Sabasaba na kenge...

  18. PRIME Sababu zinazochochea wanaume kufariki mapema

    Kwa ujumla wanaume wanafariki mapema kutokana na kuwa na idadi kubwa ya vihatarishi, ikiwamo uasili wa kibailojia na kufanya kazi ngumu ambazo zinamweka katika hatari ya kifo.

  19. Ushauri unavyoweza kuchangia udumavu wa mtoto

    Katika kumjenga mtoto kiakili na kimwili, wazazi na walezi wamekuwa wakipokea ushauri wa malezi wanaopewa na kujikuta wakienda kinyume na wataalamu wa afya na malezi.

  20. PRIME Tahasusi mpya zinavyoibua wasiwasi, matumaini elimu ya Tanzania

    Wengi wamepokea kwa mikono miwili uamuzi wa Serikali kuanzisha tahasusi hizi, huku baadhi wakitilia shaka kasi ya maamuzi hayo ambapo bado Taasisi ya Elimu nchini (TET), haijaweka bayana mbinu na...