Mikoa mitano kupata mvua kuanzia Mei 3 hadi 6 Mamlaka hiyo imewataka wananchi kuendelea kufuatilia na kuzingatia taarifa za utabiri kutoka TMA pamoja na kupata ushauri na miongozo ya wataalamu katika sekta husika, ili kujikinga na athari...
PRIME Mrundi alivyomuua mwenzake, kumzika na kupanda mazao juu ya kaburi lake Baada ya kumuua kwa jembe, raia huyo wa Burundi akishirikiana na mshtakiwa namba mbili, Ndayikengurukiye Stanslaus naye raia wa Burundi na watu wengine wanne kumzika, kisha Bandyeekela akapanda...
Rais Ruto amteua Kahariri kuwa CDF Kenya Mabadiliko hayo na uteuzi huo wa CDF umeidhinishwa kwenye mkutano wa Baraza la Idara ya Ulinzi chini ya uenyekiti wa Waziri wa Ulinzi Aden Duale.
PRIME Punguzo lenye neema kwa benki, Serikali na wananchi Sekta ya huduma za fedha ni miongoni mwa zinazokua kwa kasi hapa nchini, huku ujumuishi wa watu katika huduma hizo muhimu za kiuchumi ukiongezeka.
Madereva Tanga – Horohoro wagoma, kisa hiki hapa Wasema nauli ya Sh3, 200 haina faida wanataka abiria walipe Sh3, 500.
Suala la malipo wastaafu iliyokuwa Jumuiya Afrika Mashariki laibuka upya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kama wapo wanaodai wawasilishe madai kwa mwajiri wao.
Watuhumiwa wengine sita wabainika ubadhirifu wa Sh1.3 bilioni Awali watuhumiwa 20 walifunguliwa kesi ya uhujumu uchumi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya
Wasichana wapewa mbinu kumudu masomo ya sayansi Kikubwa kinachoangaliwa ni kubuni na kutengeneza mifumo inayotatua changamoto za jamii
Miaka 20 ya Poland ndani ya Umoja wa Ulaya Leo, Mei Mosi, Poland inaadhimisha miaka 20 tangu ilipojiunga na Umoja wa Ulaya (EU) mwaka 2004. Kipindi hicho, ilipokea kundi kubwa la nchi 10 za Ulaya Mashariki na Kati, ikiwemo Poland ambazo...
Namna lugha inavyoweza kuathiri biashara ya huduma za kifedha Kiswahili ni lugha kuu inayotumika na Watanzania wengi wanaotumia huduma rasmi za kifedha nchini. Taarifa za Ripoti ya Utafiti wa Maoni ya Watumiaji wa Huduma za Kifedha nchini (Finscope,2023)...
Simba ya Mgunda na mambo mapya Siku chache baada ya kurudishwa Simba, kocha Juma Mgunda ametaja mambo matatu yatakayombeba kwenye mechi nane zilizobaki akianza na sare ya mabao 2-2 dhidi ya Namungo ugenini.
Tyla awajibu wanaomfananisha na Rihanna Japo siyo mbaya mtu kulinganishwa na mwingine lakini kwa mwanamuziki kutoka nchini Afrika Kusini Tyla ameonekana kutopendezwa na suala hilo, hii ni baada ya wadau kuunganisha picha yake na ya...
PRIME Kwa nini tusiwapoteze wanaotaka kutupoteza? Japo walijulikana, watu wasiojulikana walijulikana kwa unyama na ushenzi wao enzi zile za ubabe na uungu ngurumbili. Kuna mafyatu walipotezwa na mafyatu wasiojulikana bila hata kujulikana...
Hii ndiyo elimu itakayokomesha ajira zinazodhalilisha Watanzania nje Kuna uwezekano mkubwa wa kuzuia Watanzania kudhalilika nje, ikiwa mfumo wa elimu utawawezesha kuwa na uwezo wa kujiajiri au kurandana na mahitaji ya soko.