Mama asimulia ukuta ulivyodondoka na kuua watoto wake wanne
“Hali ilikuwa ngumu kwa sababu matofali yalikuwa mazito kwa kuwa yalikuwa yameshiba maji baada ya kuona mzigo mzito tukaitisha majirani kutusaidia, tulitumia muda mrefu nahisi walizidiwa pumzi,”...