Miaka 37 toka kifo cha Ahmad Kipande wa Kilwa Jazz Band
Mwaka 1953, Ahmad Kipande aliyekuwa mzaliwa wa Kilwa, aliamua kuja Dar es Salaam kutafuta maisha. Alipofika kati ya mambo aliyoyakuta yaliyomfurahisha ni teknolojia ya gramafoni, chombo ambacho...