Picha Timu ya Simba Queens ikiwa Bungeni Alhamisi, Februari 01, 2024 Wachezaji wa timu ya mpira wa wanawake ya Simba Queens, inayocheza ligi kuu ya wanawake Tanzania Bara, pamoja na Benchi la ufundi la timu hiyo wakiwa Bungeni leo Alhamisi, Februari Mosi, 2024. Picha na Merciful Munuo Photo: 1/3 View caption Photo: 2/3 View caption Photo: 3/3 View caption Join the discussion Login with your Nation account Commenting as Please add your name to your Nation profile to comment Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
Mgawo wa maji watikisa mijini, vijijini Licha ya wingi wa rasilimali maji zilizopo nchini, upatikanaji wa maji safi na salama, bado ni changamoto kwa wananchi ambao baadhi hupata maji kwa mgawo, huku wengine hasa vijijini wakitegemea...
Bei ya mafuta yazidi kushuka Bei ya mafuta imeendelea kushuka, baada ya Ewura kutangaza bei mpya kuanzia kesho, ambapo lita moja ya petroli itauzwa Sh2, 886, dizeli Sh3083 na mafuta ya taa Sh3, 275 kwa lita.
Rais Samia aomba mjadala changamoto bunifu sekta ya afya Rais Samia Suluhu Hassan ameziomba Jumuiya ya Kimataifa kujadili changamoto tatu zinazorudisha nyuma juhudi za kufanya bunifu kwenye sekta ya afya