Shamrashamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar
. Askari mbalimbaliwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakipita mbele ya jukwaa kuu wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Amani, leo Januari 12, 2024.
Photo: 1/7
Viongozi mbalimbali waliohudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar ziliyofanyika katika uwanja wa Amani, leo Januari 12, 2024.
Photo: 2/7
Photo: 3/7
Photo: 4/7
Photo: 5/7
. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitoa salamu fupi katika maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika kwenye uwanja wa Amani leo Januari 12, 2024.
Photo: 6/7
Askari mbalimbaliwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakipita mbele ya jukwaa kuu wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika kwenye uwanja wa Amani, leo Januari 12, 2024.