Rais Samia akimjulia hali mama mzazi wa Halima Mdee
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Theresia Mdee, mama mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma, Februari 1, 2024.