Hizi hapa sababu refa Msomalia kuzuiwa Marekani Msemaji wa Idara ya Forodha na Ulinzi wa Mipaka ya Marekani (CBP), amethibitisha kuwa mwamuzi wa Somalia, Omar Abdulkadir Artan, alizuiwa kuingia nchini humo kutokana na wasiwasi unaohusiana na...
Kero ya foleni Mbagala yapata suluhu, malori yaondolewa Bandari kavu ya Mbagala jijini Dar es Salaam imepata eneo la maegesho ya malori katika juhudi za kupunguza msongamano na foleni ya magari iliyokuwa ikijitokeza nje ya bandari hiyo.
Zanzibar yageukia teknolojia ya SRI na uhifadhi shirikishi kunusuru misitu, kuongeza tija katika kilimo
SMZ yakiri changamoto ya kurundikwa vifusi mbele ya nyumba za watu Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekiri wananchi kuathirika na vifusi vinavyowekwa mbele ya nyumba zao kutokana na ujenzi unaoendelea katika barabara za ndani.
Barcelona yamrejesha Rashford Man United Barcelona imeamua kutomsajili moja kwa moja mshambuliaji wa England, Marcus Rashford, na hivyo atarejea Manchester United baada ya kukataa kulipa ada ya Pauni 26 milioni (Sh91 bilioni)...
Johari afunguka sababu kuchelewa kuolewa Kwa zaidi ya miaka 20 kwenye tasnia ya filamu Tanzania, Blandina Chagula 'Johari' ameendelea kuwa miongoni mwa waigizaji waliodumu kwa muda mrefu huku akibadilika kutoka kuwa mwigizaji wa kawaida...
Serikali yaweka mikakati kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza Wizara na taasisi mbalimbali za Serikali zimeungana kuandaa mikakati ya pamoja ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza (NCDs), kufuatia tahadhari ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu...