PRIME Kamati kuu Chadema ‘yawafyeka’ wagombea hawa Katika mchakato wa usaili kuna watu sita hawakufanyiwa usaili kwa sababu mbalimbali
PRIME Machungu intaneti bado yauma Vyanzo mbalimbali vya taarifa mtandaoni, vinaonyesha ukarabati wa mkongo wa chini ya bahari unaweza kuchukua kuanzia siku sita hadi wiki nane kulingana na ukubwa wa tatizo.
PRIME Kikokotoo kilivyomtenda mstaafu Jeshi la Magereza Asema maisha yake yanafanana na digidigi kwa sasa, Kamishna Jenerali Jeshi la Magereza afafanua
PRIME Hali si shwari kwenye familia Miaka ya karibuni, familia zimekumbwa na misukosuko kadhaa kutokana na kukosekana malezi imara
Profesa Assad kuongoza timu ya wataalamu kubadili mitalaa TIA Katika kufanikisha azma hiyo, wameunda timu maalumu kutoka nje ya taasisi kwa ajili ya shughuli hiyo
Samia ataja changamoto upatikanaji nishati safi Afrika Nishati safi ya kupikia kidunia inapatikana kwa asilimia sita kusini na kati ya Asia na zaidi ya asilimia 14 kwa Amerika ya Kusini na Caribbean.
PRIME Machungu intaneti bado yauma Vyanzo mbalimbali vya taarifa mtandaoni, vinaonyesha ukarabati wa mkongo wa chini ya bahari unaweza kuchukua kuanzia siku sita hadi wiki nane kulingana na ukubwa wa tatizo.
Baraza la Wawakilishi kuanza kujadili bajeti kesho Maswali 291 yanatarajiwa kuulizwa na kupatiwa majibu
Mambo matatu kuwakutanisha Chadema Dar kesho Uchaguzi wa kanda hizo za awali, umekuwa na mvutano, hususan Kanda ya Nyasa na kuna wagombea wawili maarufu wanaochuana ambao ni mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu na...
Bei ya ufuta yafurahisha wakulima Amesema kuwa katika msimu uliopita alivuna tani 4.3 ambapo aliuza kwa Sh4,000 na mwaka huu ana matumaini kupata zaidi ya mavuno ya awali .
Marefa Tanzania wapewa shavu FIFA Mwamuzi wa kimataifa wa Tanzania, Hery Sasii yeye ameteuliwa kuwa mwamuzi wa akiba katika mchezo huo.
Stive Wonder sasa ni raia wa Ghana Mwanamuziki wa Marekani Stevie Wonder sasa ni raia wa Ghana baada ya kula kiapo cha utii na kupokea cheti cha Uraia kutoka kwa Rais wa nchi hiyo Nana Akufo-Addo jana Mei 13, 2024.
Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...
Mambo matano ya kufanya unapokutana tena na mpenzi uliyeachana naye Dakika chache za kwanza tunapokutana na wapenzi wetu baada ya kuachana kwa kitambo kifupi zina umuhimu.