Michango ya gari la Lissu yafikia Sh10 milioni kwa saa 24 Michango unaowasilishwa kupitia akaunti za Lissu, unalenga kumpatia gari jipya ili aondokane na kusudio la kutengeneza lile aliloshambuliwa nalo na kulitumia tena.
Chuo Kikuu Kampala chakubali yaishe, kuilipa NSSF Sh4 bilioni Fedha hizo ni malimbikizo ya michango wa wafanyakazi wa KIUT ambao ni wanachama wa NSSF kwa kipindi cha kati ya Novemba 2018 hadi Novemba 2023.
PRIME Vituko, karaha mikataba ya nyumba za kupanga Kuzaa ni wajibu na haki ya binadamu, lakini kwa baadhi ya nyumba ni haramu kwa mujibu masharti ya mikataba yake, kama inavyosimuliwa na mmoja wa wapangaji, daddys_heart kupitia mtandao wa Instagram.
Utata askofu aliyedaiwa kujinyonga Msemaji wa familia ya marehemu, Tito Kasuga amesema leo kuwa wana wasiwasi juu ya kifo cha ndugu yao kutokana na mazingira ambayo waliyakuta katika eneo la tukio.
ANTI BETTIE: Usitafute maisha ukasahau kuishi, acha kulalamika Nilifunga ndoa na mwenza wangu miaka sita iliyopita. Wakati huo ndiyo kwanza alikuwa ameanza kazi, kwa juhudi zake na elimu aliyonayo amepanda vyeo na sasa ni mtu mkubwa tu anapofanyia...
Sababu Songwe kuongoza mimba za utotoni Mimba za utotoni katika mikoa ya Songwe na Katavi huchangiwa na sababu kadhaa zikiwamo ukosefu wa elimu ya afya ya uzazi, umasikini na mila na desturi
Mtandao wa kuomba ajira Polisi walalamikiwa haufunguki Malalamiko hayo yametolewa na watu mbalimbali huku wengine wakishauri jeshi hilo liruhusu barua za maombi zipelekwe kwa mkono kwa makamanda wa polisi wa mikoa na wilaya.
Wadau wakubaliana kupunguza gharama za tiketi za ndege Afrika Hayo yamebainishwa jana Ijumaa Mei 17 2024 katika kongamano la usafiri wa anga lililojumuisha wadau 200 wa anga kutoka nchi 10, uliofanyika visiwani Zanzibar kwa siku tatu
Wagombea Chadema waanza kusaka kura Harakati za kampeni za siku 12 za kusaka kura za uenyekiti wa kanda nne za Chadema zimepamba moto huku wagombea wakitumia mitandao ya kijamii kuwafikia wapigakura
PRIME Biashara ya mkaa pasua kichwa, yafikia Sh69.9 bilioni Wakati dunia ikiendelea kupigia chapuo matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa ajili ya kulinda mazingira, hali bado ni tete kwa upande wa Tanzania, ambayo uuzaji wa mkaa umeongezeka kwa karibia...
Usyk amchapa Fury, wote waomba marudio Jana Jumamosi usiku, Jiji la Riyadh, Saudi Arabia na dunia zilisimama kwa muda kuipisha miamba miwili ya masumbwi ya uzito wa juu Tyson Fury dhidi ya Oleksandr Usyk, kwenye Ukumbi wa Kingdom Arena.
Harmonize na rekodi zake mbili kubwa Staa wa Bongofleva, Harmonize anaenda kuzindua albamu yake ya tano tangu ametoka kimuziki miaka tisa iliyopita, huku rekodi mbili kubwa zikiwa upande wake katika mradi huo alioutaja kuwa wa mwisho
Sheria zipitiwe kukomesha ukatili Kwa takriban wiki nzima sasa imekuwepo mijadala inayoenda sambamba na maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani, ambayo imegusa masuala mtambuka na hasa ukatili kwenye jamii, hususan kwa watoto.
Wanandoa watofautishe kupenda na kutaka Kila mtu humpenda mwingine. Vivyo hivyo, anaweza kumtaka au kutakiwa na mwingine. Hakuna asiyejua kupenda ingawa si wote wanaopenda ifaavyo na inavyotakiwa. Muhimu ni kujua kupenda na kutaka ni...