PRIME VIDEO: Rais mstaafu Liberia alivyohusika Peneza kuhamia CCM Mbunge wa zamani wa Chadema (2015-2020) ambaye sasa amehamia CCM, Upendo Peneza ameeleza namna Rais wa zamani wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf alivyomshauri mambo matatu kabla ya kuhamia chama...
Ajira walioishia darasa la saba zaondolewa JWTZ Serikali ya Tanzania imeaondoa utaratibu wa kuandikisha ajira kwa vijana wanaohitimu elimu ya darasa la saba kwenye Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ).
Huyu ndiye Rais wa mpito wa Iran Kwa mujibu wa Katiba ya Iran, iwapo Rais atafariki akiwa madarakani, kifungu cha 131 kinasema makamu wa kwanza wa Rais ndiye atakayeshika madaraka,
PRIME Mahakama yabatilisha hukumu kesi ya State Oil, Benki ya Equity Mahakama ya Rufani imebatilisha hukumu iliyoipa ushindi kampuni ya State Oil Tanzania katika kesi ya mgogoro wa malipo ya mkopo wa Dola za Marekani 18.64 milioni (zaidi ya Sh47 bilioni) dhidi ya...
Kamanda Mallya aagwa, Chongolo amtabiria makubwa Machi 14, 2024, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camilius Wambura aliwabadilisha vituo vya kazi makamanda wa polisi nchini ambapo Mallya alihamishiwa mkoa wa Dodoma na nafasi yake...
Mwili wa askofu anayedaiwa kujinyonga wawasili nyumbani kwa mazishi Mwili wa aliyekuwa Askofu Mkuu wa Makanisa ya Methodist Tanzania (TMC) Joseph Bundala umewasili nyumbani kwake Ihumwa jijini Dodoma kwa ajili ya ibada ya maziko ambayo yatafanyika kwenye uwanja...
Wananchi 40,000 kunufaika na mradi wa maji Mtama Zaidi ya wakazi 40,000 wa Halmashauri ya Mtama watanufaika na mradi wa maji na usafi wa mazingira wenye thamani ya Sh1 bilioni unaotekelezwa na Taasisi isiyo ya kiserikali ya “Heart to Heart”...
Wafanyabiashara kurejeshewa asilimia tatu ya VAT wakiwa na nyaraka kamili Ili kupata unafuu wa wa kodi kwa wafanyabiashara wanaosafirisha bidhaa zao kutoka Zanzibar kwenda Tanzania bara au kinyume chake, wanatakiwa kuwa na nyaraka muhimu za bidhaa hizo.
Msigwa, Sugu wanavyopishana wakisaka kura Wakati Mchungaji Peter Msigwa akianza na Mbeya kusaka kura kutetea nafasi ya uenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, mpinzani wake, Joseph Mbilinyi 'Sugu' tayari amemaliza mikoa ya Rukwa na Songwe...
Huduma hisa, hati fungani kupatikana matawi ya NMB Ili kuongeza ushiriki wa wananchi katika soko la mitaji nchini, Benki ya NMB imesaini makubaliano na kampuni ya uwakala na ushauri wa uwekezaji ya ORBIT Securities, ili kuiwakilisha katika soko...
Ligi Kuu England imemalizika hivi Ligi Kuu England ilimalizika juzi kwa Manchester City kufanikiwa kutwaa ubingwa baada ya kuichapa West Ham mabao 3-1 kwenye mchezo wa mwisho.
Dr. Almasi alivyojifananisha na Snoop Dogg Kuzeeka ni mpango wa Mungu ila kuchoka ni kujitakia kauli hii ameitoa Mwigizaji Steven Charles Almasi maarufu kama Dr. Alsmasi baada kuzungumza na Mwananchi Scoop na kufunguka mengi.
Sheria zipitiwe kukomesha ukatili Kwa takriban wiki nzima sasa imekuwepo mijadala inayoenda sambamba na maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani, ambayo imegusa masuala mtambuka na hasa ukatili kwenye jamii, hususan kwa watoto.
Wanandoa watofautishe kupenda na kutaka Kila mtu humpenda mwingine. Vivyo hivyo, anaweza kumtaka au kutakiwa na mwingine. Hakuna asiyejua kupenda ingawa si wote wanaopenda ifaavyo na inavyotakiwa. Muhimu ni kujua kupenda na kutaka ni...