Aliyekula, kulala Serena bila kulipa afutiwa kesi Hakimu Njau amesema kesi hiyo si ya jinai bali ya madai kwa sababu haina ushahidi wa moja kwa moja wa kijinai.
PRIME Bajeti ya uchaguzi, kulinda haki za raia Kauli ya Dk Mpango ilitokana na alichosema Waziri Masauni kwamba bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka huu wa fedha imeongezeka hadi kufika Sh1.7 trilioni na inakwenda kufanya mapinduzi makubwa.
Unataka kuwekeza katika hatifungani za Serikali? Fanya hivi… Kama tulivyoangalia kwenye toleo lililopita, uwekezaji katika hatifungani unaweza kuwa njia nzuri ya kujipatia kipato kwa wawekezaji. Iwapo unataka kuwekeza kwenye hatifungani za Serikali fuata...
PRIME Biashara ya mkaa pasua kichwa, yafikia Sh69.9 bilioni Wakati dunia ikiendelea kupigia chapuo matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa ajili ya kulinda mazingira, hali bado ni tete kwa upande wa Tanzania, ambayo uuzaji wa mkaa umeongezeka kwa karibia...
Mbinu mpya za ukeketaji zamulikwa Wakati Serikali ikipambana na vitendo vya ukekektaji nchini, baadhi ya jamii zinazoendeleza mila hizo zimekuja na mbinu mpya.
PRIME Mkanganyiko wa takwimu, mauzo ya ufuta yakipaa Wakati bajeti ya Wizara ya Kilimo ya mwaka 2024/25, ikionyesha kuwa mauzo ya zao la ufuta yalifikia zaidi ya Sh1.25 trilioni kwa kipindi cha mwaka 2022/23, taarifa ya Mamlaka ya Maendeleo ya...
Mbinu mpya za ukeketaji zamulikwa Wakati Serikali ikipambana na vitendo vya ukekektaji nchini, baadhi ya jamii zinazoendeleza mila hizo zimekuja na mbinu mpya.
Tume ya Uchaguzi mguu sawa uchaguzi mkuu 2025 Kwa kuzingatia matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, amesema daftari linatarajiwa kuwa na wapiga kura 34,746,638 kutoka wapiga kura 29,754,699 wa mwaka 2020 sawa na ongezeko la wapiga...
PRIME Mahamat Deby anavyobeba mustakabali wa Chad Uchaguzi uliomwingiza madarakani ulifanyika katika mazingira ya hofu na kulikuwa na ripoti kuhusu udanganyifu siku ya uchaguzi.
PRIME Biashara ya mkaa pasua kichwa, yafikia Sh69.9 bilioni Wakati dunia ikiendelea kupigia chapuo matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa ajili ya kulinda mazingira, hali bado ni tete kwa upande wa Tanzania, ambayo uuzaji wa mkaa umeongezeka kwa karibia...
Matampi, Diarra vita yao ni kali Ligi Kuu Wakati Yanga ikijihakikishia ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu, ushindani sasa unaonekani kuhamia kwa wachezaji katika kuzisaka takwimu bora zinazoweza kuwaweka katika nafasi nzuri ya...
Angel Nyigu ana jambo lake na Rayvanny Mnenguaji, Angel Nyigu amefichua kwamba hana ndoto wala mpango wa kuwa mwanamuziki lakini amemtaja msanii wa kundi la WCB, Raymond Shaban 'Rayvanny' kuwa ndiye aliyemfanya ajulikane
Unataka kuwekeza katika hatifungani za Serikali? Fanya hivi… Kama tulivyoangalia kwenye toleo lililopita, uwekezaji katika hatifungani unaweza kuwa njia nzuri ya kujipatia kipato kwa wawekezaji. Iwapo unataka kuwekeza kwenye hatifungani za Serikali fuata...
Mambo matano ya kufanya unapokutana tena na mpenzi uliyeachana naye Dakika chache za kwanza tunapokutana na wapenzi wetu baada ya kuachana kwa kitambo kifupi zina umuhimu.