CCM Ruangwa: Majaliwa hatogombea tena ubunge Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa hatogombea tena ubunge wa Ruangwa, Mkoa wa Lindi katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 2025.
PRIME Kauli ya ‘mwanamme suruali’ ilivyosababisha mauaji Ni kweli ndoa inahitaji uvumilivu lakini kuna maneno ukimtamkia mumeo yanaweza yasikuache salama, hiki ndicho kilichotokea, baada ya mume kumuua mkewe bila kukusudia baada ya kuitwa mwanamume...
Majaliwa atoa kauli ubunge wa Ruangwa Waziri Mkuu wa Tanzania na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa leo Jumatano, Julai 2, 2025 ametangaza rasmi kutokugombea tena ubunge wa Ruangwa baada ya kulitumikia jimbo hilo kwa miaka 15.
PRIME Fyatu kutoa gari kwa kila mpika kura ya kula Kama mjuavyo, uchakachuaji, sorry, uchaguzi mkubwa umekaribia, na ninagombea urahis na lazima nitashinda hata kama ni kwa goli la mkono kama lile na Mapepe Tunaye. Hivyo, kwa vile mie ni muwazi...
PRIME Wasio tayari wang’atuliwe Kwa asilimia kubwa, akili za wabongo ni kama za kushikiwa. Kila siku benki zinatoa elimu, matangazo na ofa ili kuwahamasisha watu kujiwekea akiba. Lakini wabongo wanazikimbia benki hizo na kwenda...
PRIME Samia anastahili shukrani hotuba ya kulivunja Bunge la 12 Nilisikiliza hotuba ya Rais Samia aliyotoa bungeni ile siku alipozindua rasmi utawala wake wa Awamu ya Sita, na pia nikaisikiliza tena juzi Ijumaa alipolivunja Bunge kuhitimisha nusu ya kwanza ya...
Ripoti ya kampuni ya Carbon Tanzania yaonyesha maendeleo makubwa katika jamii kutokana na faida za miradi ya hewa ukaa
Export Credit Financial Services inawawezesha wasafirishaji wa kitanzania kupitia ujumuishaji wa kifedha
Vifo vyafikia 42 ajali ya Same Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na ajali ya kugongana uso kwa uso kwa magari mawili katika Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, imeongezeka na kufikia 42.
Rais Mwinyi awaweka pembeni RC, ma- DC wakiwamo wanaoutaka uwakilishi, ubunge Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amefanya uteuzi wa mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya watano kufuatia baadhi ya waliokuwa wakishikilia nafasi hizo kuchukua fomu kwa ajili ya kuwania nafasi za...
Majaliwa atoa kauli ubunge wa Ruangwa Waziri Mkuu wa Tanzania na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa leo Jumatano, Julai 2, 2025 ametangaza rasmi kutokugombea tena ubunge wa Ruangwa baada ya kulitumikia jimbo hilo kwa miaka 15.
TRA yaandika historia mpya ya makusanyo Wakati mwaka mpya wa fedha ukianza leo, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imemaliza mwaka wa fedha 2024/2025 kwa mafanikio, ikivuka lengo la makusanyo yake na kuandika historia mpya ya ukusanyaji.
PRIME MC Alger yaitibulia Yanga kwa Mokwena Kocha wa zamani wa Wydad Casablanca, Rulani Mokwena, ameripotiwa kuwa kwenye orodha ya makocha wanaowaniwa na klabu ya MC Alger, ambao ndiyo Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Algeria (Ligue 1)...
Mwananchi Newsletter Sent every week with an update on the latest Africa news and analysis to keep you plugged into the region. Weekly newsletter Subscribe
Aaliyah katika ndoto za Ramos kumpata Pilar Ikumbukwe Aaliyah aliyefariki dunia Agosti 25, 2001 katika ajali ya ndege huko Bahamas, alitoa wimbo huo chini ya Blackground Records na Jive Records akiwa na umri wa miaka 15 na hadi sasa ni...
Tuwachague viongozi wenye uwezo, kwa maslahi ya Taifa Mchakato wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 hapa nchini umeanza, huku vyama vya siasa vikiendelea kutoa fomu kwa wanachama wao wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi,...
Kukithiri udumavu Afrika kwawaibua wadau Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati na Kusini (ECSA), na Mtandao wa Asasi za Kiraia zinazohusika na masuala ya lishe ( ESA SUN CSN), wamesaini mkataba wa miaka mitano wenye lengo la...