PRIME Ukiziona ishara hizi kapime, ni dalili za magonjwa ya ngono Mtaalamu wa Afya ya Jamii, Dk Ali Mzige anasema kuna dalili kadhaa zinazoashiria mtu amepata au anaishi na maambukizi ya ugonjwa mmojawapo wa ngono.
Mwigizaji Carina afariki dunia Mwigizaji wa filamu nchini, Hawa Hussein Ibrahim (Carina), amefariki dunia leo Aprili 15,2025 akiwa nchini India alikoenda kupatiwa matibabu ya tumbo.
Dereva wa Tanesco aliyefariki ajalini alistaafu mwaka jana Wakati Haule akizikwa Kibaha mkoani Pwani leo, mwili wa Nyamo-Hanga unatarajiwa kuzikwa kesho nyumbani Migungani mjini Bunda.
PRIME Chadema jino kwa jino na INEC kanuni za uchaguzi Taarifa ya INEC imeibua mjadala wa wadau wa siasa na sheria, wakihoji inawezekanaje chama kilazimishwe kusaini siku iliyopangwa na tume, ilhali sheria haikuweka ukomo wa siku kwa wanaotakiwa...
TRC, ofisi ya mtaa wachukua hatua kivuko cha SGR kujaa maji Hatua hii inakuja ikiwa ni siku moja imepita tangu Mwananchi kuonyesha kwa picha mnato na mjongeo namna wananchi wanavyopata adha ya kupita eneo hilo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.
Shahidi aeleza alivyowapeleka polisi kufanya upekuzi kwa Boni Yai Boni Yai mfanyabiashara na mwanasiasa aliyewahi kuwa meya wa Manispaa ya Ubungo na Malisa, mkazi wa Moshi mkoani Kilimanjaro, wote kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka matatu ya kutoa taarifa za...
EU, washirika wake watembelea Mwanza kuboresha uhusiano na kuzindua Mpango wa Maendeleo ya Uwekezaji Mijini
Bunge lapitisha bajeti ofisi ya Waziri Mkuu Bunge limepitisha bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, taasisi zake na Mfuko wa Bunge kwa mwaka 2025/26 huku Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisema Serikali itaendelea kuhakikisha kuna hali ya usalama...
Utalii wa Zanzibar washika kasi ongezeko la wageni Watalii kutoka Ulaya waliendelea kutawala taswira ya utalii Zanzibar, kwa kuchangia asilimia 71.6 ya jumla ya wageni waliowasili yaani wageni 527,845 mwaka 2024.
PRIME Chadema jino kwa jino na INEC kanuni za uchaguzi Taarifa ya INEC imeibua mjadala wa wadau wa siasa na sheria, wakihoji inawezekanaje chama kilazimishwe kusaini siku iliyopangwa na tume, ilhali sheria haikuweka ukomo wa siku kwa wanaotakiwa...
Mikakati mipya ya Zipa kuifungua Pemba kiuchumi Akielezea hali ya uwekezaji visiwani humo, Mohamed amesema kwa kipindi cha miaka mitano, Zipa imesajili miradi 480 yenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 6 (Sh16.1 trilioni).
Aziz Ki atupia manne Yanga ikiinyeshea Stand United Baada ya matokeo hayo, Yanga imetinga katika hatua ya nusu fainali na itacheza dhidi ya JKT Tanzania ambayo ilishinda mchezo wa jana mabao 3-1 dhidi ya Pamba Jiji.
Mwananchi Newsletter Sent every week with an update on the latest Africa news and analysis to keep you plugged into the region. Weekly newsletter Subscribe
Alikiba afichua kilichofanya asuse kutumbuiza Tuzo za Trace Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba ameeleza kwa mara ya kwanza, nini kilisababisha aondoke bila kutumbuiza kwenye usiku wa tuzo za Trace zilizotolewa Zanzibar Februari 26, 2025.
PRIME UCHAMBUZI WA MJEMA: Wapo wanaochekelea Chadema kujiweka kando, haya ndio madhara yake Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambacho ndicho chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, hakijasaini kanuni za maadili ya uchaguzi mkuu 2025, ikiashiria hakipo tayari kushiriki...
PRIME Ukiziona ishara hizi kapime, ni dalili za magonjwa ya ngono Mtaalamu wa Afya ya Jamii, Dk Ali Mzige anasema kuna dalili kadhaa zinazoashiria mtu amepata au anaishi na maambukizi ya ugonjwa mmojawapo wa ngono.