PRIME Saa mbili za mahojiano ya mwisho Manji Dar “Ila siku ile ilikuwa tofauti sana kwani mwenyewe ndiye alitaka mahojiano yale na akawa ananiuliza tufanye lini?”
PRIME Mapya kesi ya kutekwa Kabendera, Vodacom yaitwa mahakamani Hivyo walimhoji lengo la kila muamala alioufanya kwa mwaka mzima nyuma yake na pia walimhoji uhusiano wake na watu aliokuwa amewasiliana nao miaka kadhaa.
10 wasakwa na polisi tuhuma za kufanyiwa mitihani chuo kikuu Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam. limesema bado halijafanikiwa kuwatia mbaroni wanafunzi 10 wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) wanaokabiliwa na tuhuma za kufanyiwa mitihani.
PRIME Msigwa ataja kilichomuondoa Chadema Siku moja baada ya mbunge wa zamani wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), mwanasiasa huyo ameeleza kuwa hakuondoka Chadema kwa sababu ya...
PRIME Mahakama yamwachia huru aliyedaiwa kumuua mwanawe Mahakama Kuu kanda ya Geita imemuachia huru Stephano Mlenda (31) Mkazi wa Chigunga Wilaya ya Geita, aliyekuwa akishtakiwa kwa kosa la kumuua mtoto wake wa miaka tisa kwa kutokusudia.
PRIME Mtendaji wa kijiji aliyehukumiwa kwa kupokea rushwa ya Sh20,000 akwaa kisiki Mahakama Kuu Masijala Ndogo Moshi, imebariki adhabu ya kifungo cha miaka mitatu jela bila faini au faini ya Sh1.5 milioni kwa aliyekuwa Mtendaji wa Kijiji cha Sanyajuu wilayani Siha, Deogratias...
Siku ya Mtoto wa Afrika: Elimu jumuishi kwa watoto na kujenga kizazi hodari chenye maarifa, maadili na stadi za kazi
Maandamano ya Gen Z, Ruto asisitiza mikono yake safi Rais wa Kenya, William Ruto amesisitiza mikono yake haijachafuka damu kutokana na mauaji yaliyotokea nchini humo, baada ya waandamanaji kukabiliana na polisi.
Korea Kusini yaanza safari kujenga bandari ya uvuvi Zanzibar Imeelezwa kuwa ujenzi wa bandari kubwa za uvuvi utaifungua Zanzibar kiuchumi na kuwavutia wawekezaji kuwekeza kisiwani humo.
Mbowe: Kuwa Chadema sio suala jepesi Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe amesema mtu kuwa chama cha upinzani inahitaji ujasiri.
Vifuu vya nazi kutengeneza mkaa Amesema ubunifu huo umesaidia kuajiri vijana zaidi ya 11, ambao wanashughulika kwenye utengenezaji wa mkaa na wengine kwenye mafuta.
‘Moyo wa Manji ulikuwa Yanga’ Hata hivyo, anasema aliwahi pia kufungua kesi kuhusu wachezaji watatu kwenye Ligi Kuu Bara, Bernard Morisson, Mrisho Ngassa, Emanuel Okwi kutokana na usajili wa wachezaji hao.
Shilole atoa somo kwa vijana Mwanamuziki na mwigizaji Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa alichoimba kwenye wimbo wake uitwao ‘Nakomaa na Jiji’ ulikuwa na uhalisia wa aliyokuwa akipitia kipindi hicho.
TUONGEE KIUME: Mwenzetu aliletewa watoto wake baa na mkewe Kama una kawaida ya kwenda baa utakuwa unaelewa kuwa hiyo ndiyo sehemu hutokea mambo ya kushangaza zaidi ya sehemu yoyote ile. Nina uhakika ukiwa huko umewahi kushuhudia mzee mtu mzima akiwa...
Ndoa, talaka janga linalotikisa nchini Viongozi wa dini, wananchi na mtaalamu wa saikolojia wamekuwa na maoni tofauti kufuatia kushuka kwa idadi ya ndoa zilizosajiliwa, huku talaka zikiongezeka.