KESI YA UKAHABA: Majibu ya shahidi yalivyoiudhi Mahakama Hakimu Kasebele amewahoji waendesha mashtaka iwapo walitimiza wajibu wao, akisema hawezi kuvumilia kuendelea na kesi katika hali kama hiyo. Amesema ikiendelea atachukua hatua zaidi.
Kidata na nyota ya uteuzi wa marais watatu Hii ndiyo safari ya milima na mabonde ya uongozi wa Alphayo Kidata mmoja wa viongozi wa ngazi juu anayehamishwa hamishwa kupelekwa ofisi muhimu za Serikali kuhudumu kwa nyakati tofauti.
Alichosema Lissu kuhusu Mchungaji Msigwa kutimkia CCM Siku chache tangu Mchungaji Peter Msigwa kutimkia Chama cha Mapinduzi (CCM), Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu ameeleza kusikitishwa na uamuzi huo akisema: “Kwa kujiunga na maadui...
Mvutano wa kisheria, tuhuma kuchoma picha ya Rais Mmoja wa wanasheria katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mkoa wa Mbeya (jina lihifadhiwa kwa kuwa si msemaji), amesema hawana mamlaka ya kulizungumzia zaidi ya Mwanasheria Mkuu wa...
KESI YA UKAHABA: Upande wa mashtaka kikaangoni kudharau amri ya mahakama Mahakama imesema upande wa mashtaka kushindwa kuwasilisha uthibitisho huo kama ulivyoelekezwa ni kupuuza amri ya mahakama, kwa kuwa wao ndio wanaomwakilisha shahidi, hivyo imepanga kutoa uamuzi...
Lema ataka kauli ya Rais matukio ya utekaji Kupotea kwake kuliibua mijadala katika mitandao ya kijamii na alipopatikana kampeni ya kumchangia fedha za matibabu ziliendeshwa na watu mbalimbali wakiwemo makada wa Chadema. Rais Samia...
Siku ya Mtoto wa Afrika: Elimu jumuishi kwa watoto na kujenga kizazi hodari chenye maarifa, maadili na stadi za kazi
Mambo ya kuzingatia kuwa na afya bora Wataalamu hao wa afya ya binadamu, wamesisitiza kama mtu hatozingatia lishe bora kama dawa basi atatumia dawa kama lishe.
PRIME Mambo sita yaliyombeba Mwenda ZRA, yanayomsubiri TRA Mwenda anakuwa bosi wa TRA baada ya aliyekuwa anashikilia nafasi hiyo, Alphayo Kidata kuteuliwa kuwa Msaidizi wa Rais Ikulu. Uteuzi huo umefanyika jana Jumanne, Julai 2, 2024.
Yaani mkimbinafsisha Bi Mkubwa namfyutua mtu Mtukufu Dk Rahis, msikivu, mwenye maono, ndoto, uthubutu, ukimya, nk, naomba nimshukuru Mwenyezi Mungu, rahis, du! A’udhu billahi min ash-shaytaan-ir-rajeem.
Kampuni 11 za Tanzania zaanza kunufaika biashara AfCFTA Dar es Salaam. Kampuni 11 za Tanzania zimeanza kunufaika na ufanyaji wa biashara katika Eneo Huru la Biashara la Bara la Afrika (AfCFTA). Kampuni hizo zimeanza kutumia fursa kwa kusafirisha...
Kocha mpya Simba huyu hapa, kutua Ijumaa Suleiman Matola ambaye kwa sasa naye anamiliki Leseni A ya Caf atabaki kwenye timu hiyo huku ishu ya kocha Juma Mgunda ikiwa bado haijafahamika.
Romy Jons kutoana jasho na Dj Sinyorita, Dj YLB tuzo za MVAA Waandaji wa Tuzo muziki za (MVAA) ambao wanajihusisha na utoaji wa tuzo katika vipengele mbalimbali kwa wasanii na vijana wachakarikaji Afrika wamemtaja kaka wa msanii wa Bongo Fleva Diamond...
PRIME Dola inaposhindwa kudhibiti, Tanzania inageuka pepo ya watekaji Alaska ni jimbo kubwa sana Marekani, lakini lina idadi ndogo ya watu wanaoishi mbalimbali. Ripoti zinaonesha kuwa ndani ya miaka 50 iliyopita walishapotea watu zaidi ya 20,000. Yaani kwa wastani...
Ndoa, talaka janga linalotikisa nchini Viongozi wa dini, wananchi na mtaalamu wa saikolojia wamekuwa na maoni tofauti kufuatia kushuka kwa idadi ya ndoa zilizosajiliwa, huku talaka zikiongezeka.