Mzee Onyango afariki dunia, chanzo chatajwa Kwa mujibu wa familia, msiba upo Kawe Triple Seven jijini Dar es Salaam ambako ndugu, jamaa na marafiki wameanza kufika na kutoa pole.
Mashine za kukaushia kucha zaongezewa kodi Mbali na hizo, bidhaa nyingine zinazopendekezwa kuongezewa ushuru ni viatu vya plastiki.
Ushuru wa nondo, mabati kutoka nje wapaa Kwa mujibu wa mapendekezo hayo, baadhi ya bidhaa za chuma zitatozwa ushuru wa asilimia 10 au dola za Marekani 125 kwa kila tani moja badala ya asilimia 10 pekee kwa mwaka hivi sasa.
Wizara ya Mawasiliano yawekeza katika usalama wa mtandao kuziba mianya ya wahalifu Licha ya dunia kushuhudia mageuzi makubwa ya kidijitali, bado kuna changamoto zinazoongezeka za kiusalama zinazotokana na matumizi ya mifumo ya kidijitali.
Nchi za EAC zageukia rasilimali za ndani kugharamia bajeti Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimewasilisha bajeti zao za Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/27 huku baadhi zikiweka nguvu kwenye mapato ya ndani kwa kutumia rasilimali...
Refa Msomalia apewa fainali ya PSG, Aston Villa Umoja wa Vyama vya Mpira wa Miguu Ulaya (UEFA) umempanga Refa Omar Artan kuchezesha mechi ya taji la UEFA Super 2026 baina ya PSG na Aston Villa, Agosti 12, 2026.
Mzee Onyango kuzikwa Juni 13 Mazishi ya muigizaji mkongwe wa tasnia ya maigizo Tanzania, Issa Joseph 'Mzee Onyango', yatafanyika Jumamosi Juni 13 , 2026 katika Makaburi ya Kondo Ununio jijini Dar es Salaam.
Teknolojia mpya ya upasuaji, wagonjwa kuruhusiwa siku hiyohiyo Wagonjwa wanaofanyiwa upasuaji nchini, wanatarajiwa kuanza kunufaika na teknolojia ya upasuaji kwa kutumia kamera ndogo utakaopunguza maumivu, kuharakisha kupona na hata kuwawezesha kuruhusiwa...