PRIME Mtifuano mpya Ma-RC waongeza joto majimboni Unakumbuka Machi 11, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan alipoagiza wateule wake, wakiwemo wakuu wa mikoa wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali, kutoa taarifa mapema, ili nafasi zao ziweze kujazwa...
PRIME Janabi ataja vipaumbele vyake WHO, akisisitiza Azimio la Abuja Mgombea wa Tanzania kwa nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Afrika, Profesa Mohammed Janabi, amewasilisha maono yake kwa nafasi hiyo, akisisitiza dhamira yake ya...
Waliofanya usaili ajira za TRA matokeo kutoka Aprili 25 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa matokeo ya usaili wa maandishi uliofanyika Machi 29 na 30, 2025 kwa watahiniwa walioomba nafasi za kazi TRA yatatangazwa Aprili 25 baada ya...
Tamisemi yawaita wahitimu wanaotaka kubadilisha tahasusi Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa ametangaza kuwa zoezi la kubadilisha tahasusi (combination) kwa wanafunzi waliomaliza...
Mtifuano wa Rais Ruto, Gachagua waanza upya Mtifuano wa Rais William Ruto na aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, ni kama umeanza upya baada ya kiongozi huyo wa nchi kutoa tuhuma nyingine dhidi ya Gachagua, ikiwamo madai ya malipo ya...
PRIME Yajue mabadiliko yaliyotikisa Bunge la 12 Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 utaanza Aprili 8, 2025, jijini Dodoma. Ni mkutano wa mwisho katika uhai wa Bunge la 12 chini ya Spika Dk Tulia Ackson na Naibu wake, Mussa Zungu, pamoja na wenyeviti...
Waliofanya usaili ajira za TRA matokeo kutoka Aprili 25 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa matokeo ya usaili wa maandishi uliofanyika Machi 29 na 30, 2025 kwa watahiniwa walioomba nafasi za kazi TRA yatatangazwa Aprili 25 baada ya...
Utafiti kubaini aina mpya za samaki Meli ya utafiti wa bahari na samaki, Dk Fridtjof Nansen kutoka Norway, inatarajiwa kuanza utafiti wake nchini.
PRIME Mtifuano mpya Ma-RC waongeza joto majimboni Unakumbuka Machi 11, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan alipoagiza wateule wake, wakiwemo wakuu wa mikoa wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali, kutoa taarifa mapema, ili nafasi zao ziweze kujazwa...
PRIME Mikopo ya kidijitali yafikia Sh4.22 trilioni, mahitaji yakiongezeka Miamala ya mikopo ya kidijitali nchini Tanzania imeshuhudia ongezeko kubwa mwaka 2024, ikiongezeka kwa asilimia 91.49 hadi kufikia Sh4.22 trilioni kutoka Sh2.20 trilioni mwaka 2023.
Mamelodi, Esperance kitanzini CAF kisa vurugu Mamelodi Sundowns na Esperance huenda kila moja ikajikuta ikikumbana na adhabu kali kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) baada ya mashabiki wa timu hizo kufanyiana vurugu katika mechi...
Mwananchi Newsletter Sent every week with an update on the latest Africa news and analysis to keep you plugged into the region. Weekly newsletter Subscribe
Fid Q awapa mashabiki nafasi ya kuamua Mwanamuziki Fareed Kubanda (Fid Q) amewapa nafasi mashabiki wake kuchagua ngoma yake ipi aimbe Mei 2, 2025 atakapopanda kwenye jukwaa la Bongo Fleva Honors.
PRIME UCHAMBUZI WA MJEMA: Haki na amani ni watoto pacha uchaguzi mkuu 2025 Nimefurahishwa na ahadi ya Rais Samia Suluhu Hassan kwamba Serikali imejipanga kuhakikisha uchaguzi mkuu 2025 unafanyika kwa haki na furaha yangu kubwa ni neno ‘Haki’ kwa kuwa haki na amani ni...
Mtaalamu: Ukipiga mswaki usisukutue na maji Ili kulinda afya ya kinywa na meno wataalamu wa afya wanasema mtu hatakiwi kusukutua na maji baada ya kupiga mswaki na kutema povu la dawa, kwani kufanya hivyo unapungiza ulinzi.