Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China, Liu Guozhong akifurahia burudani za ngoma asili zilizokuwa zikitolewa na vikundi vya sanaa baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na kupokelewa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko, jijini Dar es Salaam leo Januari 22, 2024. Guozhong amekuja kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu. Picha na Sunday George