Mwili wa Thadei Ole Mushi waagwa Dar, kuzikwa kesho Uru Kitandu
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Thadei Ole Mushi wakati wakiingiza kanisani lililopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam leo, kwa ajili ya ibada ya kuaga kabla ya kusafirisha kuelekea Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi. Picha na Said Khamis
Photo: 1/3
Photo: 2/3
Waombolezaji wakiwa katika ibada ya kuaga mwili wa Thadeo Ole Mushi, jijini Dar es salaam leo Februari 06, 2024 kabla ya kusafirisha kuelekea Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi. Picha na Said Khamis