Dk Mpango, Makamu wa Rais wa Cuba wafanya mazungumzo Ikulu
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango akimpokea Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba, Salvador Valdés Mesa alipowasili Ikulu Jijini Dar es salaam leo Januari 24, 2024. Mesa yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tatu. Picha na OMR
Photo: 1/3
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango akifanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba, Salvador Valdés Mesa alipowasili Ikulu Jijini Dar es salaam, leo. Picha na OMR
Photo: 2/3
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango akiongoza ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo rasmi na Ujumbe wa Cuba ukiongozwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba, Salvador Valdés Mesa yaliyofanyika Ikulu, jijini Dar es salaam leo. Picha na OMR