Athari za mvua Mwanza, mafuriko yazingira wananchi
Baadhi ya wananchi wakiwa juu ya gari kutokana na kuzingirwa na maji ya mafuriko yaliyotokana na mvua iliyonyesha kwa zaidi ya Saa 2 jijini Mwanza leo Ijumaa Januari 12, 2024. Picha na Mgongo Kaitira