Muhammed Khamis ni mwandishi wa gazeti la Mwananchi linalochapishwa na kampuni ya Mwananchi Communication Ltd (MCL) yenye makao makuu jijini Dar es Salaam.
Amejikita zaidi kuandika habari za siasa, jamii na elimu.
Elimu: Shahada ya kwanza ya uandishi wa habari kutoka chuo kikuu cha Iringa
Facebook. Mhammed Khamis
Instagram. Mhammed Khamis
Latest articles written by Muhammed Khamis: