PRIME Hiki ndicho chanzo wasichana wengi kuvunja ungo mapema Matukio ya wasichana wenye umri mdogo kupevuka (kuvunja ungo) ni ya kawaida katika miaka ya hivi karibuni.
Ahukumiwa miaka minne kwa mauaji ugomvi wa choo Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Bukoba imemhukumu adhabu ya kifungo cha miaka minne jela, Jacob Alphonce baada ya kumkuta na hatia ya kosa la mauaji bila kukusudia.
Majina waliochaguliwa kujiunga Idara ya Uhamiaji haya hapa Idara ya Uhamiaji Tanzania imetangaza majina ya vijana 331 waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya idara hiyo kuanzia Machi 1, 2025.