PRIME Lissu aibuka kivingine, Mahakama ikitupa shauri lake Wakati Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam ikitupilia mbali maombi ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, kiongozi huyo leo Julai 11, 2025 amefiki mahakamani kivingine.
Mahakama Kuu yatupa maombi ya Lissu Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imetupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, baada ya kukubali pingamizi la Jamhuri kuwa yako kinyume cha sheria.
Mahakama Kuu kutoa uamuzi leo maombi ya Lissu Lissu amefungua shauri la maombi Mahakama Kuu akipinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuahirisha usikilizwaji wa kesi dhidi yake ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni uliotolewa...